Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,425
Reaction score
4,768
Hatimaye ugomvi wa ruge mutahaba na mh joseph mbilinyi(sugu) umekwisha baada ya kufanyika kwa vikao mbali mbali chini ya waziri wa habari ,chimbi na mbunge Tundu lisu
source ni clouds fm



 
mh ngoja kwanza mh kweli? hata sijaamin
 
[h=6]Hatimaye ugomvi wa ruge mutahaba na mh joseph mbilinyi(sugu) umekwisha baada ya kufanyika kwa vikao mbali mbali chini ya waziri wa habari ,chimbi na mbunge Tundu lisu[/h]
 
Nasikia Sugu na Ruge wamepatanishwa baada ya mazungumzo marefu kati ya Tundu Lisu na Nchimbi
 
Well done...people are fighting because they build walls to separete themselves instead of bridges to join them! well done Ruge and Sugu for demolishing the wall that has been separating you guys for ages!
 
Something wrong with their eyes .....look at ruge.....
 
huwezi kuamini!!bado nina wasiwasi mkubwa juu ya maafikiano haya!
 
Mazungumzo kati yao waliogombana au kati ya wapatanishi?
 
Unafiki tu,hamna kitu hapo.Kama ni kwa show tu powa.
 
Ndio mwisho wa kudai 'haki' za OUTCASTS vinega?
 
kama kuna ukweli ndani yake basi wagombanao ndio wapatanao,ngoja tuwasubiri wao wenyewe watueleze
 
hahahahaahaha..ama kweli Bongo noma..jamaa wamekuwa marafiki..hahahahaha..sasa wale Viega walikua wanatukana itakuaje?...wagombanao ndio.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…