johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
huwezi kukariri ukashinda kama mtihani umetungwa na mwalimu aliyefuzu.Mtu anaweza kuwa na uwezo kukariri masomo na akafaulu vizuri sana lakini kiuhailsia akawa mbumbumbu tu.
Kwahiyo wasomi wa bongo hawajakariri madesa? ππhuwezi kukariri ukasinda kama mtihani umetungwa na mwalimualiyefuzu.
Ni kweli tupu, Zitto, Selasini na Shibuda wana shida gani na CCMMakamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema ni Kweli walikataa kuchanganywa na Vyama vingine Vya Upinzani kwenye maridhiano na CCM kwa sababu vyama hivyo ni vibaraka
"Wale hawana shida gani na CCM? Sisi Ndio tuna shida na malalamiko lazima tukutane na Chama tawala tuzungumze", amesisitiza Lisu.
Lisu alikuwa akijibu baadhi ya Hoja za pacha wake kule CCM Komredi Kinana aliyezungumza na Waandishi wa Habari
Source: Mwananchi
Kwani Mbowe na Mnyika Wana shida gani na CCM? πΌNi kweli tupu, Zitto, Selasini na Shibuda wana shida gani na CCM
Mbona wamejitoa kwenye mariadhiano fake?Kwani Mbowe na Mnyika Wana shida gani na CCM? πΌ
Hata Chadema huwa hawasusi woteKwa hilo yupo sahihi kabisa
Mnakubaliana msuse uchaguzi vyenyewe vinashiriki kazi gani hiyo sasa? ππ
Hoja zako ni za kizamani sana, outdatedna kwamba yeye ni malaika na sio kibaraka wa mabwwnyenye wa ng'ambo, right π
Wamejitoa baada ya kuramba ruzuku ππMbona wamejitoa kwenye mariadhiano fake?
UWT na nyie jamaniWamejitoa baada ya kuramba ruzuku ππ
na kwamba yeye ni malaika na sio kibaraka wa mabwwnyenye wa ng'ambo, right [emoji205]
kwamba sielewi kua makamu mwenyekiti ni kibaraka au?Out of mind out of content. Soma tena uelewe.
kwamaba yeye vice chair sio puppet auHoja zako ni za kizamani sana, outdated
Lisu anaishi alieiba kura na aliejaribu kumuua lisu yupo wapi??na kwamba yeye ni malaika na sio kibaraka wa mabwwnyenye wa ng'ambo, right π
Katika hili Lissu yuko sahihi. Nchi hii vyama vya siasa ni viwili tu: CCM na CHADE.MA. Vilivyobakia vyote ni vibaraka wa CCM (alias CCM B ).Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amesema ni kweli walikataa kuchanganywa na Vyama vingine Vya Upinzani kwenye maridhiano na CCM kwa sababu vyama hivyo ni vibaraka
"Wale hawana shida gani na CCM? Sisi Ndio tuna shida na malalamiko lazima tukutane na Chama tawala tuzungumze", amesisitiza Lissu.
Lisu alikuwa akijibu baadhi ya Hoja za pacha wake kule CCM Komredi Kinana aliyezungumza na Waandishi wa Habari
Source: Mwananchi
kila mwanadamu anaishi kwa Neema na Baraka za Mungu, manug'uniko na malalamiko yako mwambie Mungu kuliko kunihoji mimi story na porojo za imani haba...Lisu anaishi alieiba kura na aliejaribu kumuua lisu yupo wapi??
π π€£ π wakati mnapanga Yenu na Mungu alikuwa anapanga yakekila mwanadamu anaishi kwa Neema na Baraka za Mungu, manug'uniko na malalamiko yako mwambie Mungu kuliko kunihoji mimi story na porojo za imani haba...
kwa imani za wengine kufa ni faida. ni kumaliza kazi na kusudi la Mungu kukuumba katika ulimwengu huu