Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni Mtu hatari asipuuzwe!

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
28,259
Reaction score
41,416
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu kumepatikana mwamko na amsha amsha za aina yake!

Kupitia Safu hii napenda nijadili haiba ya wagombea urais aina ya Lissu!

Kwa waliopita ktk system ya kusolve migogoro ya power corridors ndani na nje ya nchi mtakubaliana nami hiki ninachokwenda kuandika hapa.

Duniani kote wanaotumika kuleta mapinduzi au kuongoza mageuzi huwa ni watu ambao hawana cha kupoteza ktk maisha (lumpen)

Lissu amepitia Kitu tunaita’Near Death Experience’ Duniani kote wanasiasa au wanaharakati waliopitia the Near death Experience huwa majasiri na hatari sana! Wanaopanga njama dhidi yao huchagua kufa au kupona.

Spirit Yao huwa ni kali sana na hubadilisha upepo wa mambo kwa kasi sana!

Wanaomsikiliza Lissu wanaweza kuona anatania au anatishia but psychologically anachoongea Lissu kinatoka moyoni na anadhamiria.

Miaka mingi tumekuwa tukisema upinzani umepoa na hamna wa kukinukisha ni kwa sababu hapajawai tokea Mtu wa kuongoza aina ya Lissu ambaye kwa hatua aliyopo ni Kama hana tena cha kupoteza ktk maisha.

Hivyo kupitia safu hii nasema tena Lissu asipuuzwe!

Anayosema kihusu uchaguzi huru na haki iwe kweli vinginevyo dunia itashangazwa na Tanzania itaandika historia mpya!

Nashauri tuwe na uchaguzi huru na haki kweli kweli!
 
Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.
 
Hiyo ya near to death nakubaliana na wewe. Lakini pia wangemfuta machozi wale waliokuwa wamedhamiria kumuua. Hawajajificha na wameonekana live. Mm binafsi napenda ccm waharibu ili kinuke tupambane na ccm kwa mitutu tuone nani atapona. Maana tuna njaa, hatuna ajila, ajila zilizopo ni za makada wa ccm kwa mlango wa uteuzi alafu tanapuuzwa. Sasa kiwake tuone atakae baki, maana mpaka wakurugenzi sasa ni wateule tutaanza nao tuwamwage mavi then kieleweke.
 

Ndugu umeisoma mada na kuielewa?

Kwahiyo hamtaki kutenda haki?
 
utajua kua hujui tu. Ishi kwa kukariri
 

That’s why nimesema asipuuzwe! Neno haki huinua taifa lizingatiwe.
 
Endelea kuota Ila angalia usikojoe kitandani.
 
Binafsi nampuuza tu, ni sawa na chizi tu
 
Ndugu umeisoma mada na kuielewa?

Kwahiyo hamtaki kutenda haki?
Hakuna haki Duniani, haki ipo mbinguni tu. Na tumejiandaa JPM ashinde ngwe ya pili kwa njia yoyote. Wazungu wanasema By any means necessary. Watanzania walioamini Lowassa atawaletea mabadiliko mpaka wakadeki Lami sio wa kuwaacha waamue wenyewe,wanaweza mchagua hata Makonda awe Raisi ukiwaacha waamue. Ni ubabe ubabe tu. Kama mnaweza ingieni msituni vinginevyo subirini JPM aapishwe November mwaka huu.Mmezoea kuambiwa maneno ya kuwapa moyo, mi nawapa live. LISSU hawezi kuwa Raisi wa Tanzania,sio Leo sio 2025 . NEVER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…