Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni Nyerere anayeishi!

Weka ushahidi hapa, usipende kuropoka ropoka hovyo kama yule mwanamke wa kiyunani
Ukipata sababu za Kwa nini Lisu akiwa Arusha hakwenda kupata baraka za mwasisi wa Chama chake hutohitaji jibu hilo
 
Lissu ni Nyerere?

2014 kwenye Bunge la katiba ulikuwa unanyonya kwa mama. Ni miaka sita tu imepita. Mbona mna kumbukumbu ndogo kama nyumbu.

Lissu alimwambia hayati nyerere kuwa alikuwa ni kiongozo anayeishi kwa uongo uongo na ujanja ujanja.

Lissu hawezi kufikia hata robo ya Nyerere.


N.b
Pumbavu sana wewe kijana uliyeanzisha mada.
 
Tafadhali acheni Kumfananisha Hayati Baba wa Taifa na Watu wengine wa 'ajabu ajabu' tafadhali sawa? Hebu tumuheshimu Kidogo basi Mwalimu.
 
Huyo ndo raisi kuanzia oct.28
 
Nyerere ni mjamaa na Lisu ni mbepari watafanana kwenye nini Landa kwamba wote ni binadamu.
Misimamo yao ni tofauti kabisa mwingine anaona Hatuna mjomba Huko nnje wa kutusaidia mwingine anaona tunae mjomba wa kutusaidia.
Labda tulazimishe kufananisha lakini hawa hawafanani kabisa.


Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Mtamuita ad mungu lkn hakuna kitu ataambulia
 
Nyerere hakutokea Ubelgiji kuja kutupatia Uhuru,

Wala hakuwa na wanasheria mabeberu wanomtetea.
 
Tafadhali acheni Kumfananisha Hayati Baba wa Taifa na Watu wengine wa 'ajabu ajabu' tafadhali sawa? Hebu tumuheshimu Kidogo basi Mwalimu.
Angalau ungejiheshimu wala usingeandika Ujinga kama huu..Huyo unaemwita mpumbavu kwakee huingii hata ukucha..shame on you
 
Soma mada nzma , usisome kichwa tu na kuchangia mada
 
Una akili finyu sana .....hoja hujibiwa kwa hoja ndio uungwana, Matusi ni dalili za kupanic
 
Angalau ungejiheshimu wala usingeandika Ujinga kama huu..Huyo unaemwita mpumbavu kwakee huingii hata ukucha..shame on you

Kumbe Lugha ya Kiswahili Siku hizi imebadilika na kwamba ukisema kuwa Mtu fulani ni Mtu wa Ajabu basi unakuwa umemaanisha ni Mpumbavu?
 
WTF,huyu huyu ALIYEMTUKANA MWL NYERERE BABA WA TAIFA HILI?BIG NOOOOO
 


Sio huyuhuyu Tundu aliyewahi kumtukana huyo Nyerere?

Msimfananishe baba wa taifa na wauza utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…