Tundu Lissu puts Magufuli on spot after assassination attempt

Mh Lissu anaitakia nini Tanzania?

Mh Lissu anataka kuwa nani Tanzania?
 
Wewe haikosi ni polisi wa Tanzania au mfanyakazi wa serikali ya Tanzania.
 
Tundu Lisu bwana, Huwa namkubali sana kwa Ujasiri wake na baadhi ya Hoja zake,

But for this he is becoming a Coward,
Who paid for the Media coverage,?
Doesn't this mean he is conspiring with Foreign countries? Anyway tuyaache hayo,
Halafu mbona suala lake tumeshalisahau jamani, hata yeye ni Mwanasheria anaelewa the world is Not fair,
He is just one survivor among many shot dead or injured or Jailed daily kwa uonezi tu, sasa anataka tusimamishe kila kitu sababu yeye alionewa,? Ni wangapi wameonewa na kuporwa uhai tangu dunia hii iumbwe?
Mili ya watu inaokotwa kila siku, wengine hata hatujui ni kina nani,
Ningekuwa ni Mimi namshauri basi ningemsihi atulie hiki kipindi anapata matibabu, Atafute namna nzuri ya kudeal na maadui zake,
Anyway, Mungu amsaidie apone haraka arudi kwenye Majukumu yake.
 
Hata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!
Wale wanaopelekwa India mbona huwasemi. Wewe ni bogus kweli.
 
Giving an ambiguous comments like this shows nothing but a high degree of hypocrisy and that the author needs some sort of assistance in the area of counseling.
 
Hata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!
CCM kwetu huku Tanzania ni janga kuliko Ebola na aids.Eeh Mungu Baba tusikie maombi yetu tuepushe na hili janga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…