Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

Nyie si mnasemaga tanzania sio masikini, umasikini umemalizwa na CCM
 
Vituo vya afya nchi nzima haoni, bwawa la umeme Rufiji haoni, daraja kule kigongo na Busisi ziwa Victoria haoni, umeme kila kijiji mpaka milimani kule kwa sambaa haoni.

Yeye aelezi atawafanyia nini wananchi na kwa namna gani, anachotaka achaguliwe tu.

Narudia kiki aliyoiwacha lowassa cdm kwenye uchaguzi ilikua ni kubwa sana na hakuna mwenye uwezo wa kuifikia hata kwambali. Cdm wakipata mbunge hata mmoja watakua wamejitahidi sana.
Nawakumbusha uchaguzi utakua huru na haki.
 
Ni mlopokaji tu hana haiba ya uraisi bora angetulia zake tu huko huko kwa mabeberu ndo kuna mfaha hatuache tujenge Tanzania yetu
 
Umesagau kwamba hata magu anachuki dhidi ya upinzani. Jibu hoja zake tukuelewe. Afu tulia hapo ndio anawasha moto. Kuhusu nini chakuwafanyia subirini msimu wa kampeni

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Sasa Kama sisi ni maskini, na Magu ameshindwa kuondoa huyo Umaskini kwanini asiondoke tu? Bora umekri Nchi ni maskini. Usilete habari za uchumi wa Kati hapa jukwaani maisha yako yote.
 
Unataka kutuambia Marais wote walio pita hawakuwahi kununua ndege? Wakati kuna walio nunua tukala majani?

Kwamba shule hazikuwepo? Mimi nilisoma Uarabuni?

Kwamba hosipitali hazikuwepo tulitibiwa wapi? Hebu tuache utani kwenye mambobya msingi jamani.
 
Ni kweli kabisa. Lissu anasema hayo ili wayajibu kwa hoja. Sasa wao wanaishia kumtusi. Hawajielewi

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Hivi mwenye mipasho zaidi si Jiwe?Mtu anadhubutu kusema vyama vya Upinzani ndiyo vimeiba madini ya Nchi Kama vile viliwahi kuwa madarakani.Kuna mipasho zaidi ya hiy
 
Muda wa kuwaambia atafanya nini bado. Yule anajua political psychology, lazima aseme madhaifu yake tujue. Nanyi ni jukumu lenu kumtetea magufuri kwakujibu hoja za lissu. Mfano kasema magufuri kajenga uwanja aa ndege kijijini kwske na kaweka hifadhi ya sanyama. Nyue njooni mjibu hizi hoja.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kweli we kilaza, kwani hukuwahi kuona barabara, reli na ndege kabla ya Magufuli. Hivyo siyo vipya, kitu kipya Ni kuqnzishwa kwa mbuga ya wanyama Chato. Hahahahha
 

Atakuwa hayaoni pia haya:

Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo

Ndiyo maana tunamchagiza awahi huko kupata picha kamili ya vilivyo vishindo vya awamu ya tano.
 
Yaani ajenge nchi aache kujenga Chato,?hayo majengo aliyojenga siyo yake binafsi,Hayati Nyerere hakujenga tulimcheka,Hayati Mkapa kazikwa juzi tumesema hakujenga kwao,Kikwete baba wa watu hakuwa na makuu lakini tulisema anazurura sana hadi tukahesabu safari zake humuhumu Jf,Chato hapajajengwa kwa Siri,nasidhani kama Kuna kilichoandikwa jina la Magu huko,wapinzani ni vizuri kujitathmini upyaa,maendeleo aliyoleta Magufuli ni makubwa a mbayo hata 2015 niliyotegemea Lowassa ashinde ayalete Magufuli kamzidi parefu,sisi wenyewe tunajua hata ukitaka kujenga kanyumba kakuishi,lazima ufunge mkanda kidogo,kwa hoja hizi Lisu kushinda ni ngumu,inaonekana hakujipanga vyema yupo too emotional than logical.
 
Mabeberu ndo waliowafikisha hapo mlipo ... Wakiwafungia mtajinyea nyie. Au umesahau majuzi tu Bank ya dunia ilisamehe riba kwenye deni mkashangilia mpk mnataka kugalagala? Bank ya mabeberu ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…