Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

Kwa hiyo kulimbikiza miradi kijiji kwenu sio hoja,huo ni ubinafsi. Kuna business plan gani iliwahi kushauri kujenga ndege kijiji kwao,mbuga je?
 
Hata roma haikujengwa kwa siku moja kwa aliyoyafanya kwa kipindi cha muhula wake wa kwanza si haba amejitahidi
Kwani ni Waziri wa Ujenzi au Rais? Amejenga kwa kufuata vipaumbele vya Watanzania ama anatafuta sifa kwa kodi zetu?
 
Lisu ni chaguo zuri sana kwani anatusaidia sana kuwakumbusha Watanzania mambo mazuri yaliyofanywa na Dr. Magufuli.
 
Nidham gani kazini. Mfanyakazi mmoja alisikika na kusema nafanya hii kazi kukusaidia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaona wananchi waliochoka vibaya, anaona vifo, majeruhi wa risasi, anaona wahanga wa kutekwa, anaona mahabusu wakusingizowa kesi hewa,
 
Unataka sote tuwaze upimbi uwazao wewe?! Songwe,nyerere,kia,mwanza,mtwara,msalato,dodoma mjini kote viwanja vinajengwa/kutanuliwa je kote nikijijini kwake huko?
Uwanja unaojengwa ni wa Msalato tu na huo hauna shida maana ni makao makuu hivyo siyo maajabu.

Hivyo viwanja vingine ulivyovitaja vilijengwa kimkakati. Ila jua kuwa nchi yetu bado ni ya kipato cha chini hivyo kutumia fedha za umma kunahitaji umakini mkubwa sana. Alichofanya Magufuli kwenda Chato kujenga uwanja ambao hauna maana ni matumizi mabaya ya fedha za umma! Ni ufisadi mkubwa kuliko fisadi zingine zilizowahi kufanyika. Ni wizi mbaya sana! Na ndiyo maana ni dikteta. Anatumia udikteta kufanya anayofanya.
 
We unaishi hapa kwa favor ya bashite tutakurudisha kwenu rwanda
 
Anaona wananchi waliochoka vibaya, anaona vifo, majeruhi wa risasi, anaona wahanga wa kutekwa, anaona mahabusu wakusingizowa kesi hewa,
Mwambieni apunguze u-negativity!! Hajawahi kufanya la maana nje ya mahakama. Angerudi kwenye sheria alipobobea vizuri ajenge nchi hizi siasa anazopiga nikupoteza muda huku akizungukwa na wahuni wachache wanaojitajirisha kupitia upinzani feki.
 
hasara imepatikana ya shilingi ngapi?? Biashara ikianza lazima faida ipatikane mwanzoni? Kujaribu ni ujinga,kwakuwa zipo kampuni kubwa sisi hatupaswi kuwa na yetu? Jifikirishe zaidi
Ndege zinazeeka na hivyo zitahitaji vipuri ambavyo ni bei sana (pengine hujui: vipuri vya ndege vina expire date.)

Mashirika makubwa yanafungwa kwa kushindwa hii biashara. Kujaribu si kubaya lakini kujaribu tu ili mradi uonekane umejaribu ni jambo la ajabu kabisa.
 
Tl anabahati ya kuwa mbunge lakini hana bahati yakuwa Rais
 
Mwambieni apunguze u-negativity!! Hajawahi kufanya la maana nje ya mahakama. Angerudi kwenye sheria alipobobea vizuri ajenge nchi hizi siasa anazopiga nikupoteza muda huku akizungukwa na wahuni wachache wanaojitajirisha kupitia upinzani feki
Magu kaumiza nchi na wananchi hafai kuendelea
 
Acha chato nayo ikuwe kiongozi jasiri alitoka pale, Pakinoga Sana hamia name familia maana hiinchi yeti unaruhusa y'all kuishi popote upapendapo blaza..
 
Anaona wananchi waliochoka vibaya, anaona vifo, majeruhi wa risasi, anaona wahanga wa kutekwa, anaona mahabusu wakusingizowa kesi hewa,
anaona watumishi wakiachwa yatima, anaona vijana wakikosa ajira, anaona vyeo vikitolewa kikanda na kujuana,
 
Anaona wananchi waliochoka vibaya, anaona vifo, majeruhi wa risasi, anaona wahanga wa kutekwa, anaona mahabusu wakusingizowa kesi hewa,
anaona watumishi wakiachwa yatima, anaona vijana wakikosa ajira, anaona vyeo vikitolewa kikanda na kujuana,
 
Mbona hata hiyo jana tayari ameanza kutieleza atatufanyia Ni kutokujua huo umaskini wa kuletwa?ameeleza jinsi atakavyo waondolea wakulima na wafugaji tozo za hovyo na michangomichango inayomkandamiza mkulima na mfugaji pamoja na mambo Kama sotakabadhi ghalani.

Kaeleza vizuri tu,sema nyinyi mmemsikiliza huku mnapaniki.
 
Popular Airlines in India

[https://res]IndiGo

[https://res]Air India

[https://res]SpiceJet

[https://res]GoAir

[https://res]AirAsia India

[https://res]Vistara

[https://res]Alliance Air

[https://res]Air India Express

[https://res]TruJet

[https://res]Qatar Airways

[https://res]Saudi Airlines Saudia

[https://res]Air Arabia



Itafute ATC hapo na India tunaenda.
 
Magu kaumiza nchi na wananchi hafai kuendelea
Fatilia viongozi wa mageuzi kina Mohammad rajah Al mahtoom, Putin, J. zemin nk. Hakunaga maendeleo bila kuumia, Kama mwanaume ulitahiriwa Kama mwanamke Alizaa basi hujua hilo!! Chamuhimu malengo ya JPM ni Tanzania yamaendeleo tena yakasi
 
Lissu asisahau Standard gauge rail way, barabara za mwendo kasi Moro to dar, Daraja la busisi, Kuhamishia ikulu dodoma, Zahanati kadha wa kadha kwenye kata, Ujenzi wa meli Mwanza south, Msimamizi wa migodi yote Tanzania Barrick anatoa asilimia 50 kwa taifa, Masoko ya dhahabu ktk maeneo yenye madini, Kwa leo naishia hapo chondechonde mkumbushe hayo Tundu Antipasi Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…