johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Lissu amesema tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze ni yeye peke yake ndio amewahi kuchaguliwa kama mbunge kutoka chama cha Upinzani, Dodoma ndio Kabisa wanachagua CCM kwa asilimia 100. Lissu anadai Singida na Dodoma ni Mikoa Maskini inayoongoza kwa kuichagua CCM
"Huu mkoa wa Singida tangu mungu ameumba Mbingu na Dunia umechagua mbunge mmoja tu asiye wa CCM na ni huyu anayeongea na nyinyi, mkoa wa Dodoma wao ndio CCM maisha yao yote, lakini ndio masikini kuliko wote sasa niwaulize hizi shida zenu ni mapenzi ya Mungu au CCM?"
Chanzo: Jambo TV