Tundu Lissu: Tanzania yawa miongoni mwa nchi za G20, viwanda vyashamitiri ktk uongozi wa JPM

NAOMBA UFAFANUZI:-

JE, NI "VIWANDA"

AU

"VI-WONDER"?????


AMBAVYO TANZANIA TUNAONGOZA?????​
 
Hawa Jamaa kuna wanachokitafuta...niwaambie tu kwa maneno machache... "Be careful and watch it....kama mnadhani mna freedom ya kuandika chochote....not to that extent"





Ferd font
ha ha ha ha watanzania vichaa
 
Jamaa alinikera pale alipozipiga mkwara TV kurusha habari za migogoro ya wakulima na wafugaji, halafu yeye ni rais wa wanyonge...Rais wa wanyonge hataki matatizo ya wanyonge yapewe airtime!!
Anajiita rais wa wanyonge lakini yeye ndiye kashikilia kamba ya kuwanyonga wanyonge kama askari magereza wa segerea.
 
Sasa mnashangaa nini wakati yule jamaa wa un alipokuja alikuja kuomba pesa za kusaidia wakimbizi Kenya na Uganda na mahiga aliahidi kumpa msaada wa dola 10milions
 
Tanzania now is the richest economy in the world and will soon give aid to the US and the European Union worthy twenty trillion dollars..


If wishes were gold beggars would ride
 
Kwa sasa Twitter inaongoza kwa uchochezi Tanzania!

Nashauri mkulu aifunge tu

[HASHTAG]#ReportUnderMagufuliEra[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…