Tundu Lissu. The man, the myth, the legend

Mkuu tuletee muendelezo wa submission,jana uliishia muda ule wameenda break.Kazi unayofanya ni nzuri sisi tuliobali tunapata kujua kinachoendelea kupitia wewe
 
Kuna thread inaitwa TUNDU ANTIPAS LISSU SPECIAL THREAD uko UPDATE zinaendelezwa na manyanza
 
TUNDU LISSU THE Champion...Pengine huyu jamaa ndio kusudi la Mungu tulilolisubiri kubadilisha hii nchi...
 
Ndiyo hivi hivi mtoto wa kike unaolewa. Acha kushobokea mwanaume mwenzake wakati mke wake hahangaiki naye wala hatujwahi kumsikia mtoto wake ila wanakula maisha kule Ulaya. We ni zaidi ya zuzu lisilojielewa!
 
Hii sio mara yake ya kwanza, Kuna mahali kama wiki 2 zimepita pia alicomment “Lissu ni kamanda” Ukimqoute ha-reply 😀

Nadhani anatusanifu.
Uyu atakua na I'd mbili Moja ana support Lissu ya Pili ya Lumumba ( hii ya kuchukulia Posho) sasa akisha jichanganya kwenye matumizi ndo maana ana unyuti.
 
Uyu atakua na I'd mbili Moja ana support Lissu ya Pili ya Lumumba ( hii ya kuchukulia Posho) sasa akisha jichanganya kwenye matumizi ndo maana ana unyuti.
Kuna mwingine siku akijichanganya ntakuita uone 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…