johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu amewaambia wafuasi wake kuwa wasipojipanga sawasawa CCM hawataiweza.
Lissu amekiri mbele ya umati wa watu mjini Shelui kwamba CCM ni chama kikubwa na inatakiwa pawepo mikakati thabiti wakati wa kuikabili.
Chanzo: Azam TV
Lissu amekiri mbele ya umati wa watu mjini Shelui kwamba CCM ni chama kikubwa na inatakiwa pawepo mikakati thabiti wakati wa kuikabili.
Chanzo: Azam TV