Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Tusipojipanga CCM hatuwawezi

Wewe ni msemaji wake anamanisha mipango miovu ya wizi wa kura na mikakati mingine ya kishenzi kwenye uchaguzi

Wewe tuletee habari za Jiwe yuko wapi? Mbona apatikani hata kwenye simu?
 
CCM wana dola na tume ya uchaguzi.
 
Wewe ni msemaji wake anamanisha mipango miovu ya wizi wa kura na mikakati mingine ya kishenzi kwenye uchaguzi


Wewe tuletee habari za Jiwe yuko wapi? Mbona apatikani hata kwenye simu?
Lisu anawaandaa kisaikolojia!
 

Huyu kesha elewa ukweli aibu inayo msubiri mbele ya safari. Kauli za wapinzani za kudhihaki maendeleo yaliyo fanywa na ccm awamu ya tano ni za kujichimbia kaburi watakalo ingia wenyewe. Kaburi wanalo jichimbia si la kawaida maana lina kina cha futi 12.

Unatukana barabara zilizo jengwa wakati huo huo yeye mwenyewe tangu Dodoma Lissu yuko ndani ya gari dogo tena benz amapuyanga kwa raha zake njia yote kesha fika kahama.

Kasahau na njia ya muongo siku zote ni fupi jamaa huyu kiwango chake cha uongo ni cha hadhi ya Kibeberu. Utamsikia akihojiwa na vyombo vya habari vya mabeberu nje ya nchi kuanzia vya Kenya. Jinsi ananavyo lielezea na kutoa taswira ya uongo kuhusu uhalisia wa gonjwa la covid 19 hapaTanzania. Wakati huohuo yeye mwenyewe hachukui tahadhari ya kuvaa barakoa au ya social distancing na wafuasi wake kila anapo simama kuwasalimia. Hii inatoa ujumbe gani? Kuwa hofu ya covid 19 ni kama haipo tena na gonjwa limefifia na linaishia.
 
Kwenye nyekundu, je, ni 'wafuasi wake' au 'wafuasi wa chama cha Chadema'?
 
CCM imezungukwa na wingu kubwa la mashahidi (voters). Haiwezi kushindwa na chama kidogo kama CHADEMA! Yani mnataka kuniambia kuwa kweli Magufuli anaweza kukosa 51% in a worst case scenario! IMPOSSIBLE!
Waebrania 12:1 a
Sisi tunalo kundi hili kubwa la mashahidi mbele yetu.
 
Source ?Mzee wa kuokoteza nyuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…