johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
TayariWakili Msomi Tundu Antipas Lisu amesema Uchaguzi wa TLS ulikuwa Huru na Haki kama ilivyo kawaida yao miaka yote
Lisu amesema Jukumu Kuu la TLS ni kusimamia Utawala wa Sheria nchini na kuwawakilisha Wananchi Mahakamani
Source: Mwanahalisi Digital
Kuhesabu kura na Kutangaza Mshindi hajazungumziaBado "Kuhesabu Kura" na "Kutangaza mshindi"..., hajazungumzia hayo?
Tatizo liko kwenye kuzihesabu kura na kumtangaza mshindiWakili Msomi Tundu Antipas Lisu amesema Uchaguzi wa TLS ulikuwa Huru na Haki kama ilivyo kawaida yao miaka yote.
Lisu amesema Jukumu Kuu la TLS ni kusimamia Utawala wa Sheria nchini na kuwawakilisha Wananchi Mahakamani.
Source: Mwanahalisi Digital.
Soma zaidi: Uchaguzi wa Rais TLS: Nani kuibuka kidedea Urais TLS 2024?
Kuna wasiwasi kwani kwamba mtangazaji ataenda halijojo ili baadaye amwambie Mungu amsamehe?πTatizo liko kwenye kuzihesabu kura na kumtangaza mshindi
Naomba umkumbushe, huyo huyo Tundu Lissu, kwamba CHADEMA wasifunikwe usoni na hilo likitambaa jeusi la "uchaguzi kuwa huru", wakati wakijuwa ushindi unapatikana kwa njia mbadala ya hiyo.Kuhesabu kura na Kutangaza Mshindi hajazungumzia
Na ndiyo mpango mzimaKuna wasiwasi kwani kwamba mtangazaji ataenda halijojo ili baadaye amwambie Mungu amsamehe?π
Lisu amenibariki mpk nimejambaWakili Msomi Tundu Antipas Lisu amesema Uchaguzi wa TLS ulikuwa Huru na Haki kama ilivyo kawaida yao miaka yote.
Lisu amesema Jukumu Kuu la TLS ni kusimamia Utawala wa Sheria nchini na kuwawakilisha Wananchi Mahakamani.
Source: Mwanahalisi Digital.
Soma zaidi: Uchaguzi wa Rais TLS: Nani kuibuka kidedea Urais TLS 2024?
Mie mwenyewe hapa nilipo nakata g.o.g.o.Lisu amenibariki mpk nimejamba
Hata CCM wengi wamefurahi snMie mwenyewe hapa nilipo nakata g.o.g.o.
Tatizo sio kura zolizopigwa atakayetangaza ndiye atatangaza mshindiBado "Kuhesabu Kura" na "Kutangaza mshindi"..., hajazungumzia hayo?