Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.

Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?

BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)

Post ya ovyo kabisa! Huyo jamaa yako alikuwa hapa 2020; kafanya kampeni na kutukana juu nani alimgusa? Alipuuzwa tu. Mhe. Rais Samia alienda Brussels kaongea nae. Kubwa kabisa, Mwenyekiti wake Mbowe anashiriki mikutano ya kujenga taifa Ikulu. Msilete siasa za ovyo kuichafua nchi. Tanzania ni salama sana... anayeogopa labda ni adui wa taifa.🙏🙏🙏
 
Post ya ovyo kabisa! Huyo jamaa yako alikuwa hapa 2020; kafanya kampeni na kutukana juu nani alimgusa?Alipuuzwa tu. Mhe. Rais Samia alienda Brussels kaongea nae. Kubwa kabisa, Mwenyekiti wake Mbowe anashiriki mikutano ya kujenga taifa Ikulu. Msilete siasa za ovyo kuichafua nchi. Tanzania ni salama sana...anayeogopa labda ni adui wa taifa.🙏🙏🙏
You must be crazy and hopeless and useless! Mbowe alipigwa risasi? Kila mmoja kuna anavyotazamwa na watawala! Lisu alipelekwa uwanja wa ndege na balozi wa scandinavian countries/USA akikabiliwa na kesi ya uhaini waliyokuwa wameigushi kama ya Mbowe? Unadhani Lisu angelitoka mzima mbele ya magufuli kama siyo balozi za nje kumnusuru?
 
Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.

Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?

BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Hapana sio ushauri mzuri.. kwa kipindi hiki anahitajika sana, utawala ule ulishapita, waliofanya hayo hawawezi fanya hivyo tena Kaka Lissu rudi nyumbani sasa.... wauaji popote pale hawataki kujulikana, jaribio la mauaji likishindikana halirudiwi, hata yule mjinga flani aliyesema sasa watatumia sindano, lbda sindano yakushonea nguo.....
 
You must be crazy and hopeless1 Mbowe alipigwa risasi? Kila mmoja kuna anavyotazamwa na watawala! Lisu alipelekwa uwanja wa ndege na balozi wa scandinavian countries/USA akikabiliwa na kesi ya uhaini waliyokuwa wameigushi kama ya Mbowe? Unadhani Lisu angelitoka mzima mbele ya magufuli kama siyo balozi za nje kumnusuru?
Kwamba Magufuli alitaka kujaribu kumuuwa tena waziwazi au kwamba Lissu alikimbia kubambikiwa kesi?
 
Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.

Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?

BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Yupo Mungu atamlinda na kumwepusha na mabaya yote. Aliyemwokoa ktk gharika lile ndiye huyu atamlinda hata sasa adui zake atawachanganya.
 
Lissu hakumuogopa Magu akiwa hai, iweje aogope kivuli Cha Magu?

Mwambieni pia kuhadaa watu anakuja na asije ni DHARAU Kwa wananchi waliomuombea akiwa on bed na akiwa salama.

Maana amesema zaidi ya maratatu naja naja na asionekane.

NDIO yake iwe NDIO na HAPANA yake iwe HAPANA.
 
Back
Top Bottom