kufanya nini? Usitoneshe vidonda bado ni vibichiHivi Ulimboka aliwezaje?
arudi ila asiguse hapa
View attachment 2478971
sio kila ukweli unapaswa kuzungumzwaKwa nini asiguse wakati ndio ukweli wenyewe ?
Post ya ovyo kabisa! Huyo jamaa yako alikuwa hapa 2020; kafanya kampeni na kutukana juu nani alimgusa? Alipuuzwa tu. Mhe. Rais Samia alienda Brussels kaongea nae. Kubwa kabisa, Mwenyekiti wake Mbowe anashiriki mikutano ya kujenga taifa Ikulu. Msilete siasa za ovyo kuichafua nchi. Tanzania ni salama sana... anayeogopa labda ni adui wa taifa.πππMamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.
Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?
BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
You must be crazy and hopeless and useless! Mbowe alipigwa risasi? Kila mmoja kuna anavyotazamwa na watawala! Lisu alipelekwa uwanja wa ndege na balozi wa scandinavian countries/USA akikabiliwa na kesi ya uhaini waliyokuwa wameigushi kama ya Mbowe? Unadhani Lisu angelitoka mzima mbele ya magufuli kama siyo balozi za nje kumnusuru?Post ya ovyo kabisa! Huyo jamaa yako alikuwa hapa 2020; kafanya kampeni na kutukana juu nani alimgusa?Alipuuzwa tu. Mhe. Rais Samia alienda Brussels kaongea nae. Kubwa kabisa, Mwenyekiti wake Mbowe anashiriki mikutano ya kujenga taifa Ikulu. Msilete siasa za ovyo kuichafua nchi. Tanzania ni salama sana...anayeogopa labda ni adui wa taifa.πππ
Hapana sio ushauri mzuri.. kwa kipindi hiki anahitajika sana, utawala ule ulishapita, waliofanya hayo hawawezi fanya hivyo tena Kaka Lissu rudi nyumbani sasa.... wauaji popote pale hawataki kujulikana, jaribio la mauaji likishindikana halirudiwi, hata yule mjinga flani aliyesema sasa watatumia sindano, lbda sindano yakushonea nguo.....Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.
Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?
BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Najaribu kuwaza watu ambao nao walipitia hali ya kushambuliwa na kunusurika kifo ila bado wapo nchi hawakuwahi kuwakimbia watesaji wao.kufanya nini? Usitoneshe vidonda bado ni vibichi
Kwamba Magufuli alitaka kujaribu kumuuwa tena waziwazi au kwamba Lissu alikimbia kubambikiwa kesi?You must be crazy and hopeless1 Mbowe alipigwa risasi? Kila mmoja kuna anavyotazamwa na watawala! Lisu alipelekwa uwanja wa ndege na balozi wa scandinavian countries/USA akikabiliwa na kesi ya uhaini waliyokuwa wameigushi kama ya Mbowe? Unadhani Lisu angelitoka mzima mbele ya magufuli kama siyo balozi za nje kumnusuru?
Yupo Mungu atamlinda na kumwepusha na mabaya yote. Aliyemwokoa ktk gharika lile ndiye huyu atamlinda hata sasa adui zake atawachanganya.Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.
Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?
BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)