Mkumbushe ya FilikunjombeKuna mengi yamejificha humo ndiyo maana CCM wameenda kumzawadia mkurugenzi wa zamani wa Acacia Deo mwanyika ubunge huko Njombe wapate kumziba mdomo asitoe siri , CCM ni ile ile hakuna malaika
Mbona Dk Slaa alikuwa anatoa ushahidi na Mwanahalisi wanachapisha ufisadi ulivyofanyika na vielelezo kamili. Na yeye kama ni mkweli atuwekee ushahidi. Mtu kama huyu hafai kuwa rais maana ni mzushi.Ushahidi upo lakini wewe tayari haupo tayari kupokea ushahidi kwani tayari umekariri kuwa kila anayefichua ufisadi wenu anaropoka, nani akuletee wewe ushahidi? Watapewa wenye Akili timamu kuliko wewe
Maendeleo siyo Hisani za CCM wala pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM,Maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani na watanzania wasio na vyama cha ajabu CCM ndiyo wafujaji wa pesa zisizo zaoHakuna maendeleo ungekuwa unapita kwenye barabara za rami zilizojengwa na Ccm?, Ungekuwa unapata umeme wa uhakika, ungepata huduma ya afya kama unavyopata sasa hivi?
Kama mtukufu kaweza kuwa Rais na kabobea kwenye kuwabambikia kesi uonevu unyanyasaji kwa wapinzani, Sembuse Lisu mpenda haki za binadamuMbona Dk Slaa alikuwa anatoa ushahidi na Mwanahalisi wanachapisha ufisadi ulivyofanyika na vielelezo kamili. Na yeye kama ni mkweli atuwekee ushahidi. Mtu kama huyu hafai kuwa rais maana ni mzushi.
Kama pesa zinafujwa haya mambo makubwa yanayofanyika ungeyaona? Chadema ruzuku ya mil 360, mmefanya ufisadi wa kukufuru,mbowe katokomea na bil 8. Nyie ndio mpewe nchi?Maendeleo siyo Hisani za CCM wala pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM,Maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani na watanzania wasio na vyama cha ajabu CCM ndiyo wafujaji wa pesa zisizo zao
Hivi wewe ni kipofu? Eeh? Huoni? Ama unaishi ughaibuni?Nani kabambikiwa kesi? Au ndio mlishakariri tu. Watu wanavamia magereza alafu mnasema wanabambikiwa kesi?
Nitajie mmoja tu ambae unao ushahidi amebambikiwa kisiasa.Hivi wewe ni kipofu? Eeh? Huoni? Ama unaishi ughaibuni?
Lissu awe rais? Aruhusu mzao kuuzwa hovyo nje,aweke rehani madini na rasilimali za taifa,aache kukusanya kodi,huyu anafaa kuw rais?Unageuka huku unakuta uzi wa kusema Lisu anapwaya unageuka huku unakuta uzi unasema Lisu ndiye raisi wa nchi hii
Anafanya makusudi, wana malipo yao hao ikifika jioni aoneshe amechangia nini, kakejeri wapi upinzani na kamsifia vipi jiwe ili usiku apate mlo.😂😂Maoni mazuri, ila nadhani kwa mambo yanavyoenda sidhani kama uko sahihi sana na pengine haujui kinachoendelea au unafanya makusudi. Huyo mgombea anaanza kukubalika.
Hayo manunuzi yalipitishwa na bunge? Na kwanini hayakaguliwi na CAG?Nonsense,jikite kwenye hoja,kama Lissu anadanganya ndege zilinunuliwa na Dotto James na JPM, akili zake zipo sawa?
Inasikitisha umejitoa akiliKama kuna kosa la kisiasa ambalo Lissu amelifanya ni kugombea urais mwaka huu,japokuwa ni haki yake ya kikatiba kugombea hiyo nafasi lakini ni kweli kuwa hiyo nafasi tayari inaonyesha amepwaya.
Hoja unazozitoa majukwaani,tayari zinaonyesha kuwa ulikurupuka kuchukua uamuzi wa kugombea urais,au mwenyekiti wa Chadema alikubwagia mzigo mzito uubebe ili hali akijua kuwa huwezi kuubeba.
Umezunguka sehemu mbalimbali na kila unapokuwa majukwaani watu wanakufuatilia,na wanashangazwa kwa nafasi nyeti kama hii ya urais na hoja ambazo umekuwa ukizitoa. Mfano ulikuwa mtwara,ukasema utaruhusu wakulima kuuza korosho nchi yoyote wanayotaka. Yaani wakivusha wakapeleka msumbiji sawa,Comoro sawa, je hujui hapa taifa linapoteza mapato yanayopatikana na Cashewnut export levy? Sasa wewe ni rais gani utayeruhusu serikali yako ikose mapato?
Hii la kuigawa nchi kwenye majimbo je ulipima uzito wake? Na ugumu wake? Mbon unaliropoka kiasi cha kuwakatisha tamaa watanzania! Mbali na hayo umekuwa ukituhumu kuwa miradi mingi inayotekelezwa na Ccm imejaa ufisadi,je hili sisi kama watanzania ambao hatuna uwezo wa kupata ukweli juu ya hizi tuhuma unaweza kuthibitisha vipi? Mfano unasema mradi wa JNHPP unajengwa kwa dola bil 11, tena kwa mkopo wa mabenki ya Misri, unaweza kuthibitisha haya? Hii ni dhahiri uligombea nafasi nzito ambayo haipatikani kwa hoja za kizushi au zisizo na mashiko.
Lakini kama ungerudi kwenye jimbo ambalo ulishinda hapo awali,jimbo la Singida Mashariki, Lissu ulikuwa na uhakika wa kushinda kwa 100%. Na hapa zile kura za huruma toka kwa ndugu,jirani na wazee wa Ikungi ungezipata kwa urahisi mno. Lakini najua chama chako kina kiongozi mnafiki na huyu ndie amekuingiza mkenge ugombee urais huku akijua huwezi kushinda.
Hii kwako ilikuwa nafasi kurudi bungeni na kuendeleza harakati zako za kutetea wananchi. Na nina uhakika safari hii ungerudi bungeni pangewaka moto.
Rudi kwenye hoja maana umesema tujikite huko, sasa unaenda kwenye personal attack ambazo hata huna uwakika juu ya uliongealo.Hivi wafuasi na wanachama wa Chadema huwa mmemaliza hata la darasa la saba?
hilo ndo alipaswa kutujuza hapa jukwaani, yaani Fiesta itakuwa wapi leo na wasanii gani watakaokuwepo...w/end hii tunataka kujua tukapate burudani ya bure.Dada Chawa wa Malunde, ratiba ya mgombea wa CCM ikoje leo?