Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ulipaswa ugombee tena ubunge, kugombea Urais umepwaya sana

Lakini point inabaki palepale Lissu hakustahili kugombea urais,hana sifa ya kuwa rais,alitakiwa agombee ubunge.
Bwege mkubwa wewe.
Huyo Mgombea wako aliwahi kuambiwa na mzee mwandamizi chamani Tena mwenye heshima zake kuwa ALIPASWA KUWA MNYAMPALA WA BARABARA!!
 
Bado hujabadiri tu Jina kujiita Changu?
 
Huyo mgombea hana visibility, haoneshwi kwenye hizo runinga, ila approval rate yake inaongezeka, fanyeni tafiti, kabla ya kuandika mavitu mengi ya kipuuzi ya kuchosha wasomaji
Mkuu kwani haumjui huyu mleta uzi huu? Huyu ni TAGA, BUKU SABA mwandamizi! Si tu hakutaka agombee Urais, bali asingekuwepo kabisa kwenye uso wa Dunia!
 
Mkuu kwani haumjui huyu mleta uzi huu? Huyu ni TAGA, BUKU SABA mwandamizi! Si tu hakutaka agombee Urais, bali asingekuwepo kabisa kwenye uso wa Dunia!
Acha utoto wako,we huoni anapoteza muda na heshima yake kwa kuropoka mambo ya ajabu kabisa.

Angegombea ubunge angeshinda kwa urahisi kabisa.
Taga linalolipwa buku saba ni hilo libibi yako uliloliweka kwenye avatar yako,mpuuzi mkubwa.
 
Kama anepyaya kilichokufanya ukose usingizi na kijaja na bandiko lako usiku wa manane ni kitu gani?

CCM inatumia ghalama kubwa sana kuwatafuta wapiga kura.

Wapiga kura wanatumia ghalama kubwa sana kuitafuta Chadema.

Kuna tofauti Kati ya mikusanyiko ya watu na kukusanya watu.

CCM inakusanya watu.
 
Nitajie mmoja tu ambae unao ushahidi amebambikiwa kisiasa.

Acha hawa wananchi wanyonge amabao hata JPM anajua wanaonewa.
Pumbavu wewe wanyonge gani anaowajua zaidi ya kuwakebehi, hakuna kiongozi asiyejali utu wa watu kama mwenyekiti wako mtukufu mungu mtu
 
Kama katiba ingeruhusu ikawa kama kenye yaani unagombea urais huku una jimbo.ukidshinda kote sawa .na ukishinda ubunge unarudi bungeni .na kama kura hazitoshi basi ndio umekosa vyote.
 
Tumia akili sio unakurupuka kujibu tu,kama ataruhusu watu kuuza mazao nje hovyo kama korosho anafaa kuwa rais huyu?

We dogo una shida fulani na nadhani umechelewa kuidhibiti. Mie sio shabiki wa Lissu lakini aliposema hayo hakumaanisha export levy isilipwe. Kwani Tanzania haina bidhaa nyingine zinauzwa Msumbiji? Swala la export levy likoje??

Alimaanisha kitu kimoja. Bei za kahawa za nchi jirani ni bora kuliko zetu na hata pamoja na export levy. Alimaanisha bei zetu ni ndogo mno kiasi zinadhulumu wakulima.

Angalizo:
Exports sio lazima zipitie bandari ya Dar ndio uamini kuna export levy zimelipwa. Export sio kwenda Ulaya na Asia. Ni kuvuka mipaka ya nchi tu. Pia exporter sio serikali, ni wafanya biashara na wanaweza kuuza popote na kulipa hiyo levy.

Fikiria nje ya box na mbali sana nje ya hilo box!!!
 

Lete Ilan ya chama chako

Lete point tumchague mgombea wako na sio makelele tu

Ishu ya majimbo yy atajua ataifanya vipi, mbona nyie mlipoingia mlibadilisha kila kitu?

Sasa hivi hata kodi za halmashauri zinaenda serikali kuu mbona hakuna mtu anawauliza?

Basi na hiyo ya majimbo wenyewe watajua jinsi gani ya kufanya iwe bora
 
Huyo mgombea hana visibility, haoneshwi kwenye hizo runinga, ila approval rate yake inaongezeka, fanyeni tafiti, kabla ya kuandika mavitu mengi ya kipuuzi ya kuchosha wasomaji

Mkutano wa pole pole Jana TV zote zilionesha

Mkutano wa Lisu uwa una rushwa YouTube tu

Na bado watu wanamwelewa
 
Lete za mgombea wako za msingi

Za kuongeza ndege zingine zijae parking pale basi
Kama unazozifahamu kuwa anataka kununua ndege zingine na kuhakikisha Sgr inakamilika, unataka upewe zipi?
 
Ukweli ni kwamba..

Lissu kushinda ni ngumu (mfumo sio mzuri) but AMEKUBALIKA SANA kadri siku ZIENDAVYO.

HOJA
Lisu kihoja yupo vizuri

Rais wetu (Magufuli)

kushinda atashinda lakini Lissu kamuonyesha what's to be done for the sake of coming up election (2025).
Lisu kaleta hali ya Kujiamini kwa Watanzania wengi just Imagine NYAMAGANA watu bado wameonyesha UPENDO wa hali ya juu kitu ambacho raisi amekiona kitabadilisha baadhi ya utendaji wake

God Bless TANZANIA
 
sidhani kama Mnyampaa atashinda sababu ufahamu wa raia katika uchaguzi wa urais bado uko kwenye kiwango cha chama cha Mwalimu, usalama wao ni ajenda yao kuu moyoni!! Mnyampaa anajisumbua bure! bora abakishe pesa za kampeni zimfae baada ya uchaguzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…