Uchaguzi 2020 Tundu Lissu umekuwa mtu wa mikwara na kuongea sana, tunaomba matendo. Anza na wabunge walioenguliwa

Kamanda mikwara ya nini oooh tunaingia barabarani halafu hatuwaoni hahaahaha
Ushabiki wa kitu ambacho kinaharibu amani na mshikamano wa nchi yetu, kana kwamba ni swala la Morrison kucheza Simba au Yangu, siyo jambo jema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…