Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
People's power! Bila shaka Mh. Tundu Lissu ni mzima wa afya njema. Pole na kulipigania hili pendwa taifa hili. Mwanasiasa mwenye msimamo mikali zaidi Tanzania, mzalendo namba moja Tanzania, mwanaharakati hatari zaidi Afrika, yote, mpigia nia haki zaidi Tanzania, mwasiasa ulie nyooooka, huna unafiki, hata kidogo. Wewe ndiye mpinzani namba moja Tanzania, mwanasiasa msema kweli Tanzania.
Mwanasiasa uliepigwa risasi nyingi zaidi Tanzania, Afrika, na duniani kote, lakini bado unaishi kwa mapenzi mema ya Mungu juu ya taifa letu pendwa la Tanzania. Mwanasiasa ulijitoa maisha yako yote kwa ajili ya kuwapigia Watanzania. Binafsi nakushukuru sana tena sana kwa kazi njema ambayo umewahi kufanya na unaendelea kuzifanya kwa ajili ya kutoa elimu ya ukombozi juu ya taifa letu hili pendwa la Tanzania. Hakika Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu zaidi.
Leo hii unatembea na risasi mwilini mwako kwa sababu ya kupigania haki na maslahi ya taifa hili pendwa la Tanzania. Cha ajabu, baadhi ya Watanzania hawa bado hawatambui kazi na juhudi zako ndani ya CHAMA chako na nje ya CHAMA. Usife moyo, kiukweli inauma sana, tena sana. Kuna watu wanaishi maisha ya kifahari, kitajiri, kwa sababu ya pesa ambazo wamezipata ndani ya CHADEMA.
Mimi binafsi ninashauri ufanye mabadiliko magumu juu ya siasa ya Tanzania. Watanzania wengi bado wana imani na wewe kwa sababu unapinga rushwa waziwazi, unapigania haki, unatoa elimu ya kujikomboa kutoka katika minyoro ya wanyonyaji, watawala wa hovyo, mafisadi, nk, bila kupepesa macho. Watanzania wengi wamechoka na style ambayo CHADEMA chini ya mwenyekiti wake anaitumia, hivyo ni vizuri shuka kwenye hilo gari na upande lingine, kwa ajili ya maslahi ya taifa letu pendwa la Tanzania.
CHADEMA ya 2010 sio CHADEMA ya sasa. Hii imelamba asali nyingi sana, ni vigumu kutoboa. Mungu ibariki Tanzania.
By Mwinjilisti Wenu, Gabeji.