Uchaguzi 2020 Tundu Lissu V/S uongozi CHADEMA: Inasikitisha sana kuona Tundu Lissu akifanya kampeni zake bila viongozi Wakuu wa chama

Mwenyekiti wa Chama yuko jimbon kwake.

Lissu anaendeleza kampeni.

Usilolijua nikwamba Kampeni zetu zimejengwa kikandaa, ndoo maana unaona akina Nyalandu Wanakoma.

So tuliza mshono.

Najua wee ni CCM , ila unavutiwa na utendaji kazi wa LISSU.
 
Inaonyesha ktk siasa ww bado sana viongozi wa juu inawezekana huwafahamu
1m/kiti ni mgombea wa ubunge tena ubunge wa awamu hii unaujua akitoka tu sababu za kumuengua zinaweza patikana
2 katibu mkuu hawezi kuacha ofisi kutokana na hali ya tume yetu ilivyo
3 naibu katibu mkuu bara ni mgombe
4 naibu katibu mkuu zbr ni mgombea
5 j mrema ni mgombea
6 wangine wanamsaidia katibu
Kuna timu kila jimbo inafanya kampeni na kumsaidia lisu ndio maana unaona mikutano yake inafanikiwa
 
Mataga bana!
 
Unahoji masuala ya CHADEMA unaacha ya chama chenu cha CCM? Rais wenu si ndiye aliyesema kwamba kila mtu afanye siasa kwenye jimbo lake au unajisahaulisha kwa makusudi? Acha mambo yako wewe!
 
Ila Majaliwa anapita nchi nzima
Wewe unataka Tundu Lissu afungiwe?

Wewe hujazisikia kanuni zao za NEC zinazosema kuwa ni marufuku, kwa mtu mwingine ambaye siyo wa jimbo hilo kufanya kampeni kwenye eneo hilo
 
Mwaka 2025 naenda zangu chama cha biashara (CHADEMA) kuwa mgombea wao wa urais.

Nikiloose huyo nageuka zangu CCM. Na hakuna wakunifanya chochote.
 
Siyo sahihi kutumia mabomu ya Nyukilia wakat Cruise missiles zinapiga kazi nzuri tu ya kumchakaza adui.

Mpaka hivi sasa Lissu anamyoosha Jiwe vizuri tu.
 
kwahiyo munataka wote wawe kwenye msafara kila mahali ilihata mkitaka kuwa hujumu muwamalize wote siyo,chadema ni akili kubwa ni watu wa mikakati na intelijensia kubwa acheni uboya
 
Yupo tuu yeye kama yeye anapambana na wahuni wa wilaya ambao ndio wanampa vibali na wanamlinda kwenye mikutano yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…