johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tundu Lissu akihutubia katika mkutano wa hadhara jimbo la Singida Magharibi amedai kuwa wanasiasa wanaomiliki timu za mpira wanatakatisha pesa.
“Tunatakiwa tujiulize viongozi wetu wakuu wanamiliki timu za mpira akiwemo Mbunge wenu Mwigulu Nchemba, tunatakiwa tujiulize kuna nini kwenye mpira huko kama sio kutakatisha fedha"
Mnatakiwa mjiulize kuna nini huko kwenye mipira kama siyo kutakatisha Fedha?!
Pia soma
Chanzo: Mwanzo TV Plus

- Kwanini Mwigulu akiwa na cheo Serikalini lazima awe na timu ligi kuu?
- Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka
- Mwigulu Nchemba achunguzwe kwa utakatishaji fedha
- Mmiliki wa Gwambina: Bodi ya Ligi walikuwa wanataka pesa kwa nguvu, usipotoa lazima ushuke daraja
Chanzo: Mwanzo TV Plus