Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ndio alivyoitwa na Wallace Karia[emoji23][emoji23][emoji23] eti Tundu lissu wa tff
Ukienda kumsalimia gerezani mwambie aache dharau na mdomo, aache kujiona mwerevu kuliko watu wote anaisi atapiga dili watu wasielewe.Naona kimya kimetanda baada ya Michael Wambura kupewa kesi isiyo na dhamana kwa lengo la kumnyamazisha ili asifukue ushahidi kuhusu mla rushwa mwenye tuhuma nzito ndugu Wallace Karia.
Wadau taratibu wameanza kumsahau shujaa Wambura ambaye anatumikia "kifungo" cha kutengeneza gerezani.
Natoa wito kwa wanasimba wenzangu na wadau wa michezo nchini kuhakikisha Wambura anapewa msaada wa kisheria na kurejea uraiani .
Pole sana Michael Wambura huko uliko, ipo siku haki yako itapatikana. Heri iwe nawe.