mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Bara Mhe. Tundu Lissu, akizungumzia tukio lililofanywa na Askari wa Jeshi la Polisi, Tarime kukizingira kiwanja walichatarajia kufanyia mkutano wao wa kampeni eneo la Nyamongo Tarime Vijijini.