mwanamwana JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,309 Reaction score 4,798 Nov 24, 2024 #1 Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Bara Mhe. Tundu Lissu, akizungumzia tukio lililofanywa na Askari wa Jeshi la Polisi, Tarime kukizingira kiwanja walichatarajia kufanyia mkutano wao wa kampeni eneo la Nyamongo Tarime Vijijini. Your browser is not able to display this video.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Bara Mhe. Tundu Lissu, akizungumzia tukio lililofanywa na Askari wa Jeshi la Polisi, Tarime kukizingira kiwanja walichatarajia kufanyia mkutano wao wa kampeni eneo la Nyamongo Tarime Vijijini. Your browser is not able to display this video.
othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6,850 Reaction score 11,033 Nov 24, 2024 #2 Wanaogopa nn si waache watu wasikilize hoja zao
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Nov 24, 2024 #3 Oh chadema imekufa, haikubaliki tena, haina sera ohhhhh haikujiandaaz oh oh kumbe. Mnategemea polisi pumbavu
Oh chadema imekufa, haikubaliki tena, haina sera ohhhhh haikujiandaaz oh oh kumbe. Mnategemea polisi pumbavu