Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
Hilo halina ubishi mkuu,kwani Tundu lisu yuko makini sana katika kauli zake na kwamba huwa ana ushahidi anaposema kitu, cha ajabu magamba na vyombo vyake husika huwa hawapendi kuambiwa ukweli na hufurahi wakisiiwa kwa uongo.
Baba Mwanaasha ni dhaifu hata teuzi zake ni dhaifu
Baba Mwanaasha ni dhaifu hata teuzi zake ni dhaifu
Hilo halina ubishi mkuu,kwani Tundu lisu yuko makini sana katika kauli zake na kwamba huwa ana ushahidi anaposema kitu, cha ajabu magamba na vyombo vyake husika huwa hawapendi kuambiwa ukweli na hufurahi wakisiiwa kwa uongo.
hatari tupu mzee, watakuitia RAMA.
Wamechezea Elimu na walimu , hii ndiyo inatucost , wewe unadhani watoto wanaomaliza darasa la saba na kwenda sekondari bila kujua kusoma na kuandika si watasoma na kuwa majaji . Ndio elimu yetu hiyo ndugu zangu bora wakijua kuropoka na kubwabwaja kuwa seriali yetu sikivu watakuwa majaji na mawaziri. Mwangalie Lukuvi ana kisomo gani , si waziri na wapo wengi wa haina iyo bora wamehitimu madrasa basi tutawapata wengi majaji wa Mahakama zetu hizi za Kadhi au gachacha . Nchi hii imeishakuwa ya ovyo . Huu ni mkakati wa siku nyingi kuua elimu , Tubaki na mahakama za Kadhi na majaji ndio hao tena
Source Gazeti la Fahamu
Ule usemi wa Mbunge wa Singida Mashariki kuwa ujaji wa kuteuliwa na rais ni wa kirafiki zaidi na kujuana una ukweli ndani yake, na ulikuwa mwiba kwa serikali na mwanasheria mkuu wa serikali kuwa na ukweli kwamba majaji wengi hawana sifa za kuwa majaji na wengi wao elimi zao ni za kuungaunga. Ikitolewa mfano ya wa jaji ambaye kwa miaka minne kashindwa kuandika hukumu kumfatilia hana elimu ya degree na kwa muda huu anafanya degree ya kwanza online.
Narudia kusema Tundu Lissu yuko sahihi
Aa wapi RAMA UGHONDU anatafutwa na NGUVU ya UMMA yuko porini!! anajitibu kwa mitishamba!! kwa sababu hawezi kusogelea vituo vya afya NI WANTED!! popote. Usicheze na UMMA wa sasa!!hatari tupu mzee, watakuitia RAMA.
Hivi mpaka leo tuna majaji wangapi na wanafanya nini? Maana ni kama kila baada ya miezi mitatu wanaapishwa majaji wapya