Tundu Lissu Yupo Sawa Kugomea Mahakama Mtandao – Haki Haiwezi Kutolewa kwa Mtandao Pekee

Hizi ni for academic consumption, mahakama mtandao ziko dunia nzima
 
Na watu kama nyie mtaendea kufurahi.
Kwa jinsi haki inavyotendwa na amepewa fursa ya kusikilizwa ila kakataa mwenyewe mimi nimefurahi kwakua hajaonewa kwenye hilo kwahiyo kesi ihairishwe ipangwe tarehe nyingine
 
Kesi ya Mh lissu sio ya kificho ni haki ya kila mwananchi kuisikiliza uwazi na sheria inataka hivyo.
 
Lissu yuko sahihi kugomea kesi yake kuendeshwa kimtandao pekee, sisi Wananchi tunataka kesi iendeshwa huku Lissu akiwa Mahakamani na hapo hapo irushwe Live mtandaoni waliopo mikoani nao wapewe fursa ya kufuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…