Jamani hivi huyu mwanasheria mbona sikuhizi hasikiki redio wala tvoni kulikoni jamani ?
Kwa kuweka records sawa, jamaa anaitwa Tundu, na si Tindu. Ila kwa hilo swali lako, hata mimi nasubiri jibu humu.Tindu Lissu yupo wapi?
Ndio maana nasema kuwa yupo Mara anafanya utafiti wa Athari za sumu toka Mgodi wa North Mara na athali zake pia yupo katika ushauri wa kisheria kuhusu uchaguzi kule biharamuloMbona last two weeks alionekana TBC1 akielezea issue ya mgodi wa North Mara?