Tundu Lisu ana Wafuasi wengi sana, hapa Bar tulipo Wote wanamfagilia Lisu, kweli huyu TAL ni Mtu wa Mabadiliko!

Itabidi niwepo hapa hadi Mshindi atangazwe Maana hakuna namna

Hamasa ni kubwa sana kama vile tunaiangalia mechi ya football

Lisu ametisha sana πŸ˜‚

Kwa bar na online Lissu ana watu wengi ambao sio wapiga kura, ila hapa Mlimani City ambao ndio wajumbe wapiga kurq 65% ni Mbowe tupu
 
Hata hapa wodini wafuasi wa Lisu wapo
 
Tulikuwa majambazi watano tumevamia nyumba fulani tukawaweka mateka wenye nyumba tukawauliza wanamuunga mkono nani kati ya lissu na sultan mbowe,wamesema wako pamoja na lissu
 
Itabidi niwepo hapa hadi Mshindi atangazwe Maana hakuna namna

Hamasa ni kubwa sana kama vile tunaiangalia mechi ya football

Lisu ametisha sana πŸ˜‚
kuna visungura alikuja navyo lema hapa ukumbini, hawa madogo wa BAVICHA hawaezi kuvimaliza maana wako chakari kuna wawili wanajitapikia tu hapa nje,

si mje mvichikue mkajivinjari navyo hapo bar gentleman πŸ’
 
Kwenye furaha pombe haichaguliwi πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…