Tundu Lisu ni kama Daudi aliyewapelekea Kaka zake Chakula Uwanja wa Vita na kisha yeye Ndio akashinda Vita dhidi ya Goliath na kuwa shujaa!

Wastage of time, CCM, Tupo handeni tunazindua miradi ya kiutu, kwa afya ya watanzania wote, mtatibiwa hapo bila kujali chama 😁
 
Nadhani somo la economics lingepaswa kuwa la lazma maana civics imefeli.

Imagine kuna mtu anadhani maendeleo yanayofanywa na serikali ni maendeleo yanayofanywa na CCM. Kana kwamba kuna sehemu CCM inatoa pesa za kufanya miradi isipokuwa kodi za wananchi.

CCM na serikali ni wasimamizi. Pesa zinatoka kwa wananchi kwa hiyo kila mwananchi anastahili kutumia chochote kinachoendelezwa hivyo, maendeleo sio hisani ila ni haki kwa kila mtanzania
 
Tunafuatilia Kwa karibu mno Mh Tundu Antipasi Lisu na utendaji wake Siasa ni

Vita ya kwanza aliyoshinda ni Uchaguzi Mkuu ndani ya Chadema

Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye ana Kombeo

Ameanza kutetema 😄😄
Unajua wewe ndugu yangu huwa nakukubali sana ni kati ya vichwa hapa Tanzania,ila nataka kukuuliza wewe ni CCM au Mwenzetu?
 
M23 wapo akawaombe bunduki.
Utanyimwa chakula Ila sio bunduki
 
Tunafuatilia Kwa karibu mno Mh Tundu Antipasi Lisu na utendaji wake Siasa ni

Vita ya kwanza aliyoshinda ni Uchaguzi Mkuu ndani ya Chadema

Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye ana Kombeo

Ameanza kutetema 😄😄
Naunga mkono hoja,ni Mungu ndiye huweka serikali za mataifa,kama alimuokoa TAL kwa makusudi Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
 
Tunafuatilia Kwa karibu mno Mh Tundu Antipasi Lisu na utendaji wake Siasa ni

Vita ya kwanza aliyoshinda ni Uchaguzi Mkuu ndani ya Chadema

Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye ana Kombeo

Ameanza kutetema 😄😄
Huyu lazima awapasue ubongo watesi Wawatanzania wote,popote walipo hata kama wanajificha mapangoni.
 
Back
Top Bottom