johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Amesema chadema lazima washike bunduki kama wanataka kweli "No reform No election" ifanikiwe. Nadhani atakuwa anasuka mpango wa kuziingiza nchini.Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye ana Kombeo
Huo mradi wa Afya uliojengwa na Waarabu alafu mnamsifia mama?Wastage of time, CCM, Tupo handeni tunazindua miradi ya kiutu, kwa afya ya watanzania wote, mtatibiwa hapo bila kujali chama ๐
Nadhani somo la economics lingepaswa kuwa la lazma maana civics imefeli.Wastage of time, CCM, Tupo handeni tunazindua miradi ya kiutu, kwa afya ya watanzania wote, mtatibiwa hapo bila kujali chama ๐
Mnazindua miradi ya sh 500 mnaiba 20000.Wastage of time, CCM, Tupo handeni tunazindua miradi ya kiutu, kwa afya ya watanzania wote, mtatibiwa hapo bila kujali chama ๐
Unajua wewe ndugu yangu huwa nakukubali sana ni kati ya vichwa hapa Tanzania,ila nataka kukuuliza wewe ni CCM au Mwenzetu?Tunafuatilia Kwa karibu mno Mh Tundu Antipasi Lisu na utendaji wake Siasa ni
Vita ya kwanza aliyoshinda ni Uchaguzi Mkuu ndani ya Chadema
Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye ana Kombeo
Ameanza kutetema ๐๐
Huyu jamaa ni snitch tu hana lolote๐Unajua wewe ndugu yangu huwa nakukubali sana ni kati ya vichwa hapa Tanzania,ila nataka kukuuliza wewe ni CCM au Mwenzetu?
Watanznaia wote watatibiwa humo bila kujali vyama vyao wala dini zao!, ile pesa tuliyomchangia Lissu kwa ajili ya gari jipya imekwenda wapi? Mana hatuoni gari jipya?Mnazindua miradi ya sh 500 mnaiba 20000.
Naunga mkono hoja๏ผni Mungu ndiye huweka serikali za mataifa๏ผkama alimuokoa TAL kwa makusudi Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?Tunafuatilia Kwa karibu mno Mh Tundu Antipasi Lisu na utendaji wake Siasa ni
Vita ya kwanza aliyoshinda ni Uchaguzi Mkuu ndani ya Chadema
Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye ana Kombeo
Ameanza kutetema ๐๐
Huyu lazima awapasue ubongo watesi Wawatanzania wote,popote walipo hata kama wanajificha mapangoni.Tunafuatilia Kwa karibu mno Mh Tundu Antipasi Lisu na utendaji wake Siasa ni
Vita ya kwanza aliyoshinda ni Uchaguzi Mkuu ndani ya Chadema
Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye ana Kombeo
Ameanza kutetema ๐๐
nipe miradi5 ya kiutu uzima serikali ya sa100 imekamilisha, acha manenoWastage of time, CCM, Tupo handeni tunazindua miradi ya kiutu, kwa afya ya watanzania wote, mtatibiwa hapo bila kujali chama ๐