johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tundu Lisu amesema akiwa Mwenyekiti wa chadema hakutakuwa na Maridhiano wala kualikana kwenye Vikao visivyojulikana
Lisu amesema Uongozi wake utakuwa ni wa mshikemshike wa kudai haki tu
Lisu amesema Tanzania ni mabingwa wa kupigia chapuo Nchi zinazofuata misingi ya Demokrasia Duniani lakini hawawaelezi Wananchi Kuwa Demokrasia hiyo ilipambaniwa haikuja tu Kwa kualikana
BBC
Mlale unono 😄