Tundu Lisu ulikuwa na nafasi kubwa ya kuwa ndiye lakini umeiharibu kwa mikono yako, CCM acheni kumlea

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,891
Reaction score
8,448
Tarehe 15/8/2024 chama cha mapinduzi huko jijini Mwanza kimefanya jambo la aibu ,dhihaka na kejeli mbele ya wazalendo wa nchi hii kwa kuwachangisha masikini ili eti msaliti Lisu apate gari jipya!!!
Tundu Lisu ni wa kukosa hela ya kununulia gari jipya? Hela alizolipwa baada ya kutetea Acacia amepeleka wapi?

Tundu Lisu ni raia halali wa nchi ya Ubelgiji na analipwa kila mwezi na nchi hiyo, pia familia ya Lisu yani mke na watoto wake ni raia halali wa Marekani ambako wanasomeshwa bure na wanapewa hela ya matumizi kila mwezi na Serikali ya USA.
Tundu Lisu alipinga hadharani juhudi za kuyafanya madini ya nchi hii yanufaishe watanzania, Lisu alifikia hatua ya kuiita kamati ya profesa Ossoro kuwa ni professional rubbish wakati ni kamati iliyopelekea kufutwa kwa Acacia na kuundwa kwa kampuni mpya ya Twiga yenye hisa 16% na ambayo mwaka huu ilitoa gawio la zaidi ya billion 54 Serikalini.
Kama Serikali ingesikiliza makelele ya msaliti Lisu kwa Tanzania itashitakiwa MIGA hili gawio kutoka kampuni ya Twiga tungepata wapi?
Nawasihi tu viongozi wa ccm kuacha mara moja tabia ya kutukuza wasaliti wa taifa kwani kufanya hivyo ni kuvunja moyo wa kizalendo ndani ya nchi yetu.
 
Roho mbaya itakuua, unaumia nini watu wengine kbs tena hata hawakuhusu wamechanga kwa mapenzi yao. We unaumia nini? Wanachangiwa wachawi, waganga wa kienyeji, manabii wa uongo, mashekhe ubwabwa na hata magaidi kwa kupiga domo tu. Achana na rizki za watu mzee utakomaa sura tu aliyebarikiwa rizki yake ina mzizi mrefu! Tafuta yako tu. Ifike wakati wabongo tufanye yanayotupa furaha na kuachana na ya watu wengine, waache waishi maisha yao, ukiina wivu fanya anavyofanya na wewe uchangiwe mkuu!
 
Kuchangia msaliti hapana
 
Back
Top Bottom