technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Mkuu pole sana lakini hapo kwenye 80% pana ukakasiLeo nimekuwa tunduma kila nyumba wanaomboleza mtu mmoja au wawili waliouwawa October 29 2025.
Ni huzuni Sana
Mimi binafsi kaka yangu kaniachia majukumu yake kutunza familia yake watoto 2 nasomesha
Alipigwa risasi alitoka ATM kutoa pesa mida ya saa 1 jioni kibo complex tegeta tarehe 29/10/2025
Hii siku sitokaa nisahau nilijua ni Mimi tu kumbe 80% ya watanzania ndugu zao waliuwawa
Rest in peace brow tutaonana badae
Leo nilikuwa tunduma lkn nimeshindwa kabisa kufanya kazi yeyote siku nzima.
Mkuu pole sana lakini hapo kwenye 80% pana ukakasi
Unasema kweli?Sehemu nyingi Leo frem za biashara hazijafunguliwa. Watu wanaomboleza wapendwa wao.
Kwanini umemwaga matapishi? Inamaanisha nini kutapikia uzi km huu?Pole kwa maumivu na kumbu kumbu mbaya kabisa kwenye taifa letu na family yako mkuu
Oyaa hakupiga picha au kuchukua video?Tunduma kuna ndugu yangu ni mjeshi alinambia ni malori ya taka yalipeka miili kuzikwa na ilikua imejaa.
Hao ndio ile tume ya jaji lila inawatafuta sasa hivi sio kwamba iwalipe fidia kwa kupotelewa na wazazi sababu ya mjinga fulani alieamua kupigapiga watu risasi hovyo hovyo bali iwasononeshe zaidiMimi binafsi kaka yangu kaniachia majukumu yake kutunza familia yake watoto 2 nasomesha
Video alikua nazo yeye lkn kwa ajili ya usalama alikataa kunitumia.Oyaa hakupiga picha au kuchukua video?
Ungemwambia aje azimwage humu JF ni sehemu salama ingawa kuna lile liwaziri kiazi mbatata linatutisha kwamba eti hakuna end to end encryption ila halijui linachokiongea bogus kichwa nazi, huyo bro ungemwambia aziweke humu ikiwezekana afungue fichua maovu aingine km anonymous guestVideo alikua nazo yeye lkn kwa ajili ya usalama alikataa kunitumia.
Mimba za utotoni..Kwanini umemwaga matapishi? Inamaanisha nini kutapikia uzi km huu?
Unasema huyo jamaa MAPITO Mwanza ana mimba akiwa utotoni?Mimba za utotoni..
Lolote linawezekana! Au we unaonaje?Unasema huyo jamaa MAPITO Mwanza ana mimba akiwa utotoni?