PostGE2025 Tunduma kila nyumba Leo wameomboleza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kila la kheir
 
Hao ndio ile tume ya jaji lila inawatafuta sasa hivi sio kwamba iwalipe fidia kwa kupotelewa na wazazi sababu ya mjinga fulani alieamua kupigapiga watu risasi hovyo hovyo bali iwasononeshe zaidi
Jaji lila si mali ya "CCM". Alipewa kazi na nani?
 
Pole sana kwa mapito mkuu Mungu akupambanie.
Apumzike kwa amani brotha.
 
Pole sana kwa kumpiteza ndugu yako, na ndugu yetu, maana ni mwanadamu mwenzetu. Mungu wa haki na mfariji wa wenye kumtumainia akujalie faraja yake. Tunamwomba Mungu wa haki, hasira yake ikawake juu ya wauaji, na laana ya damu ya marehemu ikawe juu yao na wazao wao. Tunamwomba Mungu atuondolee watawala ibilisi ili Taifa letu lirudi kwenye upendo wa Mungu, ambapo uhai wa mwanadamu utapata thamani kama Mungu apendavyo.
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/3160392830827682
 
Dah 80% ni idadi kubwa sana ndio maana chande na tume yake ni wakupuuzwa kabisa kwa makadilio ni zaidi ya watu +100,000 walipoteza maisha,
Poleni sana wote mliofikwa na dhahama hii kubwa Mungu awape nguvu, nina hakika kila mtu atalipa kutokana na matendo yake na mufa sio mrefu hukumu itapatikana
 
amri ilitolewa mwisho saa 12 jioni saa moja alienda kufanya nini ATM au ndo alikuwa anapima kima cha maji

? tunduma walikuwa watu wangapi? tena wao si ndo waliua askari na kuchoma kituo sasa wangeachwage?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…