PostGE2025 Tunduma kila nyumba Leo wameomboleza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu MAPITO Mwanza umewekaje “sick 🤮” kwenye huu uzi?tunatofautiana mawazo but hapa mtu anazungumzia kumpoteza ndugu yake.

Au umevaa gwanda la Tlaatlaah/mwashambwa maana siyo kawaida yako
 
gaza miaka 3 ya mabomu mazito na watu kuangukiwa na maghorofa ni watu 78,000 tu wewe siku 3 za risasi moja moja bila bomu unasema watu laki? kweli lowassa alikuwa sahihi kusema elimu elimu elimu walikufa kama 600 tu ila walitakiwa wafe anagalau 3000 hivi ili majizi yapungue
 
Mkuu MAPITO Mwanza umewekaje “sick 🤮” kwenye huu uzi?tunatofautiana mawazo but hapa mtu anazungumzia kumpoteza ndugu yake.

Au umevaa gwanda la Tlaatlaah/mwashambwa maana siyo kawaida yako
Naomba nisamehewe sana mkuu hapo nimepitiwa na Dhani ni usingizi ulinipitia nipo chini ya miguu ya wapenda mabadiriko wote
 

inauma sana. hasa kwa wale waliowauwa wakiwa kwenye mihangaiko yao. Binafsi niliponea chupu chupu.
 
Taka taka kabisa wewe..
 
Halafu anadai kaua 518 tuu.
 
Mjinga wewe hivi unajua gaza na israel yote kwa eneo na idadi ya watu hawafiki idadi ya wilaya moja tu ya kinondoni sasa hapa tunaongelea mikoa na wilaya zaidi ya 20 watu waliokufa, na huko gaza mpaka sasa hakuna amri ya kutotoka nje na wala watu hawapigwi risasi hovyo kama mlivyofanya nyinyi
Ila ipo siku hizo pumbu zako na ****** wako utawaka moto na siku zinakimbia kwa kasi sana
 
Siku upinzani ukiingia madarakani watakuja kufukua makaburi yaani kufanya uchunguzi wa waliohusika na mauaji na kuwapeleka mahakamani. Kwa hiyo chagueni upinzani wa kweli mpate haki zenu
kwa katiba ipi. Hii ya sasa?
 
Wajifunze waache upumbavu, kwanza wengi hapo ni wahamiaji toka Congo na Zambia walitaka kutuharibia nchi yetu, walitegemea serikali iwachekee wafanye nchi km Congo? Na hata mkirudia mtamalizwa
Ushafika tunduma wewe, au uchawa umekujaa acha kupotosha watu, tumia akili, siku utapigwa risasi wewe mbw* koko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…