Rayyan haris
Member
- Jul 26, 2026
- 91
- 127
Nilishuhudia chizi akipigwa risasi pale mbalizi, tarehe 31 vijana karibu wote tuliukimbia mji wa mbalizi na kwenda pembezoni, Polisi walikua wa apita nyumba kwa nyumba kukagua wanaume waliokutwa walikutana na cha moto, nikikumbuka tulikimbilia milimani, sina hamu ila siku haki inakuja walio husika watawajibishwaNilijua ni 29 pekee.. wewe na raha za jf tena!!
Poleni sana , hawa mashetani waliingia banda ka mpira wakaua watu 11 mwanza😢Nilishuhudia chizi akipigwa risasi pale mbalizi, tarehe 31 vijana karibu wote tuliukimbia mji wa mbalizi na kwenda pembezoni, Polisi walikua wa apita nyumba kwa nyumba kukagua wanaume waliokutwa walikutana na cha moto, nikikumbuka tulikimbilia milimani, sina hamu ila siku haki inakuja walio husika watawajibishwa
Walifanya ufuska kuna wasukuma walikua guest walipigwa risasi na kupora hela zao zote awa majamaa ni trashPoleni sana , hawa mashetani waliingia banda ka mpira wakaua watu 11 mwanza😢
Walikuwa wanaingia guest jirani wanakagua kila chumba ukikutwa huna id ni kichapo cha haja! Wana roho mbaya sana siwapendiii😮💨
Yani ulitaka serikali iwachekee wahuni wachache Ili waharibu mali na maisha ya watu Milioni 70SAMIA HATAKAA KWA AMANI HADI ANAKUFA
Sisi watanzania ni Ndugu isipokuwa watu wachcheMkuu pole sana lakini hapo kwenye 80% pana ukakasi
Just fuata "Amri halali" hoji baadae.
Kuna wengine walikuwa kwenye kahawa aisee😪Walifanya ufuska kuna wasukuma walikua guest walipigwa risasi na kupora hela zao zote awa majamaa ni trash
Hakuna aliyefuatwa majumbani.Na waliofuata hiyo amri yenu mnayoiita halali wakafuatwa huko huko majumbani walikosea wapi?
Hakuna aliyefuatwa majumbani.