Tunduma vs Katoro vs Kahama vs Njombe vs Dodoma

Tunduma vs Katoro vs Kahama vs Njombe vs Dodoma

Founder Tz

Member
Joined
Feb 20, 2022
Posts
47
Reaction score
129
Hio ni miji inayokuwa kutokana na juhudi tofauti za Wanachi na Serikali.

Lakini tofauti na hii miji kuwa impressive, bado hii miji inatofautiana kwa kasi ya ukuaji na kasi ya mzunguko wa pesa.

So kati ya hio miji, ni upi/ipi yenye kasi kubwa ya pesa na mzunguko wa pesa kwa overall businesses (biashara aina tofauti bila kutegemea biashara/shughuli iliyozoeleka ya mji husika).

Karibuni bila kupendelea ukwako.
 
Tunduma inafeed Zambia,Congo,Zambia na Malawi a achilia mbali wanatunduma wenyewe. Na hali ya hewa kama upo kwa Malikia Elizabeth... Tunduma ni fireeee
 
Tafiti huru, pitia hizo comments facebook
 
Back
Top Bottom