Tunduma vs Katoro vs Kahama vs Njombe vs Dodoma

Founder Tz

Member
Joined
Feb 20, 2022
Posts
47
Reaction score
129
Hio ni miji inayokuwa kutokana na juhudi tofauti za Wanachi na Serikali.

Lakini tofauti na hii miji kuwa impressive, bado hii miji inatofautiana kwa kasi ya ukuaji na kasi ya mzunguko wa pesa.

So kati ya hio miji, ni upi/ipi yenye kasi kubwa ya pesa na mzunguko wa pesa kwa overall businesses (biashara aina tofauti bila kutegemea biashara/shughuli iliyozoeleka ya mji husika).

Karibuni bila kupendelea ukwako.
 
Achana Kotoro ni kama dubai ya ukanda huo, hadi wafanyabiasha toka Kahama wanachukua mzigo katoro
 
Tunduma inafeed Zambia,Congo,Zambia na Malawi a achilia mbali wanatunduma wenyewe. Na hali ya hewa kama upo kwa Malikia Elizabeth... Tunduma ni fireeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…