Wakulima wa mbaazi wailaya ya Tunduru Kijiji cha Tulieni, juzi tarehe 5/7/2021 walimshambulia DC wa Tunduru kwa mawe mpaka akalazimika kuwahita polisi toka mjini Tunduru. Wakulima wengi wanalalamikiia kuingizwa zao la mbaazi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani tafauti na ahadi ya naibu waziri wa kilimo aliyotoa bungeni hivi karibuni kuwa mazao kama mbaazi, choroko, soya hayataingizwa stakabadhi.
Wakulima wanada msimu uliopita walizuiwa kuuza kwa Bei hadi t sh 600@kg matokeo waliuza kwa tsh 300/-@kg mnadani!baada ya usumbufu mwingi wakati madiwani wengi hawataki mbaazi iingie DC analazimisha.
Walimshutumu anatumia mfumo huo kuwakata fedha kwa ajili ya timu ya Tunduru korosho bila makubaliano na hakuna anaejua mapato na matumizi ya fedha hizo tofauti na mtangulizi wake Juma homera aliyewekeza kwenye elimu na ilionekana alichofanya kwa uwazi.
Wakulima hao wamekasirishwa kujua jirani Zao Masasi, Nachingwea wanauza taslimu kwa Bei kati1000/- Hadi 1200 /+ na gharama zingine zote ni za mnunuzi hakuna mfumo wa stakabadhi kama serikali ilivyoagiza bungeni kwa mazao haya.
Polisi ambao waliitwa eneo la tukio wakiwa kwenye magari mawili walitumia busara walimshauri kuwa Hali si mzuri awahi kwenye gari ili waondoke kuepusha madhara kwani wakulima walikuwa na jazba walijihami kwa mawe.
Walimshutumu kwenye korosho kuingilia vyama vya ushirika hadi kufikia kuwapangia mazao wakashushe ghala lipi.na kuzuia maghala mengine kupokea mazao kupelekea mazao kuchelewa kuingia mnadai Hadi Bei zinawashukia.pia ufuta ghala lilitumika moja tu akazuia maghala mengine Tena yenye mizani ya kupima gari kubwa hata Kama semitrailer akaamua lenye mzani kupima gunia kumi
Wanapoteza fedha kwenye vyama hakuna anaesaidia kuhakikisha wanapata Haki zao.
Wakulima wengi wanategemea kuuza ufuta, mbaazi ili kununua dawa za kupulizia korosho mfumo wa stakabadhi unachukua muda mrefu kupata fedha inapelekea korosho kuharibika