Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Ndifwa nene🤣🤣🤣 ndinywa u wugimbi luhulo be
Translation:Ndifwa nene🤣🤣🤣 ndinywa u wugimbi luhulo be
Nimecheka neno tashwishwi🤣🤣🤣Haaaa!??? Mbona walisema eti JPM hajui Kimalkia jamani!??? Ila watu waongo!!! Rais Putin wa Vietnam na Xi Jin Ping wa Uholanzi, pamoja na ushawishi wao mkubwa duniani, English yao inatia tashwishwi.
Umeona ID ya Mwifwa hapa jamvini?Yaani hapa nimetoka kapa, tangu nazaliwa mpaka nakua sijawahi kufundishwa hiki kitu.
Nisaidie kutaka japo maneno matano tu