Tunga Sentensi ikianza na maneno "Tafuta Hela"

Tafuta hela miguu sio usafili

Tafuta hela ST na range ni gari za wanawake

Tafuta hela usikilizwe kwenye kikao cha ukoo

Tafuta hela upunguze kwenda majumbani kwa watu

Tafuta hela screen inch 24 sio ya kuwa nayo

Tafuta hela uache kuwaona kila demu mzuri na mweupe ni malaya

Tafuta hela upunguze routes za kwenda kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…