Tunga sentensi inayoanziwa na neno ni 'Ni Tanzania pekee...'

Barackachess

Senior Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
156
Reaction score
122
Habari,

Tungependa kujuzana vitu vya kipekee vinavyopatikana Tanzania. Tafadhari tunga sentesi inayo anzia na neno ni Tanzania pekee

Mimi ninaanza kwa kusema ni "NI TANZANIA PEKEE KUNA JAMII INAYOJULIKANA KWA JINA LA WASIOJULIKANA"

Ni Tanzania pekee tuna mlima mrefu kuliko yote barani africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Tanzania pekee ambapo mmiliki wa mtandao wa kijamii ameshawahi kuwekwa ndani kisha kufikishwa Kisutu
 
Ni Tanzania pekee mtu alietenda kosa kipindi ana miaka 14 anahukumiwa kufungwa maisha, wakati aliefyatulia mwanafunzi risasi yupo uraiani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…