Riadha jr
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 567
- 331
wakuu humu ndani jf wasaalm,kama kichwa cha habari,katba ni kwa kila inchi ilie uhuru ila nilicho kigundua ikiwemo mimi mwenyewe kuna vipengele vingi ndani ya katiba yetu hatuvijui au kuvifahamu ima kwa kusto ji shuulisha kuisoma au kupuuzia,
kwamfano wa neno,je ni nini katiba?
karibuni
kwamfano wa neno,je ni nini katiba?
karibuni