Tungekuwa na Mahakama huru kama ya Kenya hata mikataba isiyofaa kama Dp World isingefanyika

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Mahakama ikiwa huru hata taifa linakuwa huru.

Leo mahakama kuu ya Kenya imezuia kujengwa kituo cha kutunzia wagonjwa wa ebola huko Nanyuki Kenya.

Mikataba ambayo inafungwa kwa ufiche kama ule wa Dp World ilipaswa kupingwa mahakamani na kisha kuzuiwa kabisa.

Tunahitaji katiba mpya na mahakama huru.
 
Kuna mikataba ya hovyo mingi tu Kenya
Halafu uhovyo wa mkataba wa DP world ni upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…