Tungekuwa watu 5 tukawa na milioni 1 kila mtu tufanye biashara

Tungekuwa watu 5 tukawa na milioni 1 kila mtu tufanye biashara

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Kuuza cements maeneo yanayojengeka kama mbezi goba, kivule, bagamoyo, maramba mawili ingekuwa sophisticated deal wazee, mi na milioni 1 nifanyeje nifanye hiyo tender businesses au niangalie nini chakuongeza isishukee... Maana nahisi haitoshi 1mil.. nipeni nyenzo wakuu..... Maana maisha yanakabaa sana wakati huu sijui ni mimi tu....
 
Mmh wanaume wa tano kwenye biashara ya million tano kaka unataka mgombane bure.....biashara ya ubia ni hatari watu wanauana, chukiana.....hiyo millioni yako moja anzisha biashara ya matunda kwe troli inatosha kabisa kwa siku ukosi faida ya 30k kwa mwezi 900k kuliko kushirikiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu maana Africa ubia sio mahali pake
 
Boss tupe mchanganuo labda utatushawishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchanganuo siyo mrefu zaidi ya kuona wapi kuna uwezekano wa kupata soko la bidhaa ujenzi pale unapo kuwa na kianzio, ndiyo maana nikasema mahali wanajenga jenga... Bei ya cements kwa jumla inaanziaga na 11500 mpaka 13500 kwa mfuko kutegemeana na sehemu nautakapo uza reja reja kuna faida ya sh.1000, mpaka 1200 kila mfuko wana weka faida iyo kuassume ni bidhaa inayotoka haraka japo kujenga siyo kila mtu anajenga lakini wauzaji vifaa ujenzi siyo wengi ila uhitaji ni kiasi.
nipo Kilimanjaro saivi simba cement ni 13500 kwa mfuko mmoja bei ya jumla kwa five star hardware hapo store... So kwa dar itakuwa chini au ukichukulia sehemu kama Wazo uende kuuza sehemu ya mbali penye ujenzi,

maana unavo msogezea mtu bidhaa mwenye uhitaji atanunua karibu ili aokoe gharama za usafiri,
unaeza kuta mtu anataka mifuko tano au kumi so siyo mpaka achukue usafiri aende kiwandani. Sasa wewe ukichukua mzigo mkubwa kwa kiwandani au store kubwa unapewa usafiri.
Japo hii ni biashara inatakiwa uvumilivu mwanzoni na kubana faida au kuto over spend the initial profit ili ukue.... inahitaji ujitume kuona unapataje tender ya kusambaza bidhaa yako hata kama ni bidhaa chache labda tuseme ukiona msingi unachimbwa unaomba upeleke hata mifuko 15 ,20 ili umalize bidhaa haraka.
 
Back
Top Bottom