Mmh wanaume wa tano kwenye biashara ya million tano kaka unataka mgombane bure.....biashara ya ubia ni hatari watu wanauana, chukiana.....hiyo millioni yako moja anzisha biashara ya matunda kwe troli inatosha kabisa kwa siku ukosi faida ya 30k kwa mwezi 900k kuliko kushirikianaKuuza cements maeneo yanayojengeka kama mbezi goba, kivule, bagamoyo, maramba mawili ingekuwa sophisticated deal wazee, mi na milioni 1 nifanyeje nifanye hiyo tender businesses au niangalie nini chakuongeza isishukee... Maana nahisi haitoshi 1mil.. nipeni nyenzo wakuu..... Maana maisha yanakabaa sana wakati huu sijui ni mimi tu....
Shukrani mkuu maana Africa ubia sio mahali pakeMmh wanaume wa tano kwenye biashara ya million tano kaka unataka mgombane bure.....biashara ya ubia ni hatari watu wanauana, chukiana.....hiyo millioni yako moja anzisha biashara ya matunda kwe troli inatosha kabisa kwa siku ukosi faida ya 30k kwa mwezi 900k kuliko kushirikiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchanganuo siyo mrefu zaidi ya kuona wapi kuna uwezekano wa kupata soko la bidhaa ujenzi pale unapo kuwa na kianzio, ndiyo maana nikasema mahali wanajenga jenga... Bei ya cements kwa jumla inaanziaga na 11500 mpaka 13500 kwa mfuko kutegemeana na sehemu nautakapo uza reja reja kuna faida ya sh.1000, mpaka 1200 kila mfuko wana weka faida iyo kuassume ni bidhaa inayotoka haraka japo kujenga siyo kila mtu anajenga lakini wauzaji vifaa ujenzi siyo wengi ila uhitaji ni kiasi.