Tungekuwa watu 5 tukawa na milioni 1 kila mtu tufanye biashara

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Kuuza cements maeneo yanayojengeka kama mbezi goba, kivule, bagamoyo, maramba mawili ingekuwa sophisticated deal wazee.

mi na milioni 1 nifanyeje nifanye hiyo tender business nataka ninue hata single product yaani bidhaa moja tu kama ni nondo ni nondo, cements ni cements, au rangi ni rangi. N.K ..
niangalie nini chakuongeza isishukee... Maana nahisi haitoshi 1mil.. nipeni nyenzo wakuu..... Maana maisha yanakabaa sana wakati huu sijui ni mimi tu....
 
Gharama za chumba ni.nje ya hiyo milioni moja?

Wa sukumaland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…