Kuuza cements maeneo yanayojengeka kama mbezi goba, kivule, bagamoyo, maramba mawili ingekuwa sophisticated deal wazee.
mi na milioni 1 nifanyeje nifanye hiyo tender business nataka ninue hata single product yaani bidhaa moja tu kama ni nondo ni nondo, cements ni cements, au rangi ni rangi. N.K ..
niangalie nini chakuongeza isishukee... Maana nahisi haitoshi 1mil.. nipeni nyenzo wakuu..... Maana maisha yanakabaa sana wakati huu sijui ni mimi tu....