Nunua chokaa mkuu utauza sanaaa kwa hiyo hela utapata mifuko mingi kinomaa Mi Nipo kasulu
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Mkuu kwa mtaji ulionao Mimi sikushaur uwaze biashara kubwa Kama hizo vinginevyo hiyo pesa itaishia kukodi frem tu halaf utabaki mikono mitupu.Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri
Ahsante sana mkuuMkuu kwa mtaji ulionao Mimi sikushaur uwaze biashara kubwa Kama hizo vinginevyo hiyo pesa itaishia kukodi frem tu halaf utabaki mikono mitupu.
Tafuta kabiashara kadogo tu Cha kukuingizia elfu 10 kwa siku lakin wakat huo una malengo yako kwamba siku zijazo utakuja kumiliki duka la vifaa vya ujenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app