kama hutaki ugonjwa wa moyo achana kuchek wanao, ishi kwa amani ukiwa una assume ni wanao.
Sijajua kwa nini wanaweka bei kubwa kupima hii dna nimekaa nikaangalia jinsi
watu wanavyoisihi hasa kwenye mahusiano na kuamini kuzaa nje ya ndoa ni swala
la kawaida kabisa kama mnaishi bila amani miaka yotee...swali nikaja kwako unahisi
hao ulio nao wote ni watoto wako??na wakipima dna unahisi umewatunzia wangapi?
Bravo weekend
<br />umeamini sasa wanaume wengi kwenye familia wanatumika kama NGO kutunza watoto sio wao ama babazao walishakufa wao wanajua watoto wao je unahisi kuna umuhimu wa wanaume kupewa gawiwo la asasi za kiserikali ili kuweza kuendelea kuwatunza watoto hawa??
<br />Alafu mtoto kutokua wako sio tu kwamba wife alitoka nje... yaweza kua walipozaliwa watoto walichanganywa bahati mbaya....
kama ndivyo inabidi iwepo siku maalumu ya kupima dna nchini tuongozane tukapme wote kama tulivopimaga ngoma kipindi kile tukiongozwa na yule jamaa yetu wa pale magogoni